Mchekeshaji wa maarufu nchini kutoka kundi la Vuvuzela Entertainment,
Evans Bukuku akifanya vitu vyake ndani ya kiota cha Nyumbani Lounge
jijini Dar es Salaam.
Evans Bukuku akifanya vitu vyake ndani ya kiota cha Nyumbani Lounge
jijini Dar es Salaam.
Kumbukumbu kwa ajili ya tukio hilo zikiendelea na kurekodi picha za tukio hilo.
Baadhi ya wadau wa mchekeshaji huyo wakifuatilia kwa makini kilichokuwa kikiendelea.
Baadhi ya wadau wa mchekeshaji huyo wakifuatilia kwa makini kilichokuwa kikiendelea.
Picha zote na Kajunason Blog
Picha zote na Kajunason Blog
0 comments:
Post a Comment