Katibu Mkuu Kiongozi Sefue Ombeni (kulia), akisoma hotuba ya makabidhiano ya ofisi za Tume ya Katiba kwa niaba ya Rais leo. Kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo Jaji Joseph Warioba na Waziri wa Fedha na Katiba, Celina Kombani.
Katibu Mkuu Kiongozi Sefue Ombeni (kulia) akimkabidhi funguo za ofisi ya Tume hiyo Jaji Joseph Warioba katika hafla hiyo.
Wajumbe wa kamati hiyo wakiwa kwenye halfa hiyo.
Katibu Mkuu Kiongozi Sefue Ombeni (kushoto), akimkabidhi ofisi yake Mwenyekiti wa Tume ya kukusanya na kuratibu maoni ya wananchi kuhusu katiba mpya Jaji Joseph Warioba (kulia), katika hafla iliyofanyika Dar es Salaam.
Baadhi ya wajumbe wa kamati hiyo wakiwa katika picha ya pamoja mbele ya ofisi yao waliyokabidhiwa leo.
0 comments:
Post a Comment