Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com
Home » » TUKIO KATIKA PICHA HATARI : TAZAMA PICHA ZAIDI ZA JINSI MIILI INAYODAIWA NI YA BINADAMU ILIYOKUTWA JANA JIJINI DAR IKIWA NDANI YA MIFUKO IMETUPWA

TUKIO KATIKA PICHA HATARI : TAZAMA PICHA ZAIDI ZA JINSI MIILI INAYODAIWA NI YA BINADAMU ILIYOKUTWA JANA JIJINI DAR IKIWA NDANI YA MIFUKO IMETUPWA

TUNAOMBA RADHI KWA PICHA
                   
Viungo vya kamatwa

Sehemu ya mifuko ya plastiki iliyokutwa na viungo hivyo ambavyo inasemekana ni pamoja na mikono, miguu, ngozi na sehemu nyingine za miili

Gari likiwa limebeba mifuko yenye viuongo hivyo, ambapo Jeshi la Polisi wilaya ya Kinondoni limesema kuwa limeanza uchunguzi wa kina baada ya kukakamata viungo mbalimbali vinavyodhaniwa kuwa ni vya binadamu katika mifuko ya plastiki katika machimbo ya kokoto sehemu za Mbweni Mpiji, Magohe, nje kidogo ya jiji la Dar es salaam.
 Mmoja ya Kiungo Kinachodaiwa cha Mguu 



 Baadhi ya Mifuko ambamo kunadaiwa Maiti izo zilikuwa zimewekwa
 Moja ya kichwa kinachodhaniwa cha Binadamu ambacho kimetolewa katika moja ya Mifuko hiyo

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa