ASP Swai kutoka Makao Makuu ya Traffic Tanzania akizungumza jambo kwenye hafla ya kukabidhi vitambulisho vya uanachama wa Mpango wa Uchangiaji wa Hiari wa PSPF kwa Umoja wa Madereva na Makondakta wa Daladala zinazofanya kazi kutoka Mnazi Mmoja-Gongo la Mboto (UMAMAGOM) iliyofanyika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam
Mtaalamu waUjasiliamali kutoka shirika lisilo la kiserikali la Axis Busness Consult, Mbwana Kambangwa akizungumza jambo kwenye hafla hiyo
Hadji Jamadary ambaye ni mtumishi wa PSPF akitoa elimu kwa Madereva pamoja makondakta kuhusu umuhimu wa kujiunga kwenye mpango wa uchangiaji wa hiari PSS, wengine ni Mwenyekiti wa UMAMAGOM, Ibrahimu Mtunze, ASP Swai kutoka makao makuu ya traffic Tanzania na Mtaalamu wa Ujasiliamali kutoka shirika lisilo la kiserikali la Axis Busness Consult bwana Mbwana R. Kambangwa
Katibu wa Umoja wa Madereva na Makondakta wa Daladala zinazofanya kazi kutoka Mnazi Mmoja kwenda Gongo la Mboto( UMAMAGOM) akiuliza swali kwa Kamanda ASP Swai kuhusu suala la usalama wao wakiwa barabarani.
Mmoja wa madereva akiuliza swali wakati wa hafla hiyo
Afisa wa Mpango wa Uchangiaji wa Hiari PSS wa PSPF, Hadji Jamadary akimkabidhi moja ya kadi za uanachama wa mpango wa uchangiaji wa hiari mgeni rasmi ASP Swai kutoka makao makuu ya Traffic Tanzania
ASP Swai kutoka makao makuu ya traffic Tanzania akikabidhi kadi ya Uanachama wa PSS kwa mmoja wa Madereva waliojiunga na mfuko huo
Madereva pamoja na makondakta wakigawiwa vipeperushi kutoka PSPF
Baadhi ya Madereva na makondakta waliofika kwenye hafla hiyo wakifuatilia maelezo kutoka PSPF
Mtumishi wa PSPF, Abdalah Mohamed (anayeandika) akiwaandikisha Madereva na Makondakta kwenye mpango wa uchangiaji wa hiari wa PSPF waliofika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja
Picha ya Pamoja
0 comments:
Post a Comment