Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com
Home » » SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA (TBS) LAELEZA MAJUKUMU YAKE KWA WAANDISHI WA HABARI DAR ES SALAAM LEO SEPTEMBA 16-9-2014

SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA (TBS) LAELEZA MAJUKUMU YAKE KWA WAANDISHI WA HABARI DAR ES SALAAM LEO SEPTEMBA 16-9-2014

 Kaimu Mkurugenzi wa Udhibiti Ubora wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Mary Meela, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo.

 Ofisa Uhusiano wa TBS, Roida Andusamile. (Imeandaliwa na mtandao wa habari za jamii.com-simu namba 0712-727062)
 Kaimu Mkurugenzi wa Udhibiti Ubora wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Mary Meela (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu majukumu ya shirika hilo jinsi yanavyotekelezwa na kurugenzi ya udhibiti ubora. Kushoto ni Ofisa Uhusiano wa TBS, Roida Andusamile.
 Kaimu Mkurugenzi wa Udhibiti Ubora wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Mary Meela (katikati), akizungumza katika mkutano huo. Kulia ni Ofisa Habari wa Idara Habari Maelezo, Frank Mvungi na Ofisa Uhusiano wa TBS, Roida Andusamile.
Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa