Kundi
hilo lenye wanachama 30 limeadhimisha mwaka kwa kufanya mazoezi ya
pamoja ikiwa ni pamoja na Aerobics, Kuogelea na Kucheza dansi katika Gym
ya Rio iliyopo jijini Dar es Salaam na baadae kupata chakula cha pamoja
cha usiku.
KUF ina wanachama kutoka mikoa mbalimbali nchini Ujerumani, Marekani na Uingereza.
Akizungumza
katika sherehe hiyo ya maadhimisho ya mwaka mmoja, kiongozi wa kundi
hilo Angel Msangi amesema anafarijika kuona watu wanapungua na kuwa na
miili na ngozi nzuri kwa kuzingatia ushauri wa wataalamu na kuwa na nia
kutoka moyoni
Kula kwa afya na kufanya mazoezi.
Badhi ya Wanakikundi cha KUF walipokutana pamoja.
Kundi
linalojulikana kwa jina la Kataa Unene Family (KUF) linaloongozwa na
mwanadada Angel Msangi limeadhimisha mwaka mmoja tangu kuanzishwa kwake
na kujiwekea malengo ya kusaidia idadi kubwa zaidi ya wenye uhitaji wa
afya bora kwa kula kwa afya na mazoezi.
Kila mmoja akitafakari.
Marafiki wakifurahi.
Mpiga picha wetu Ester Ulaya nae akipata ukodak.
Wanakikundi wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza kufanya mazoezi.
KUF wakifanya mazoezi.
Ukodak.
Zoezi la kuogelea likiendelea baada ya Aerobics.
Chakula
Kiongozi wa KUF Angela Msangi akikabidhiwa zawadi na Agnes Byera kwa kazi nzuri anayofanya ya kulingoza kundi.
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment