Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com
Home » » BREAKING NEWS JUST IN: BREAKING NEWS: POLISI WAWATAWANYA WAFUASI WA CHAMA CHA CUF ENEO LA TEMEKE JIJINI DAR WENGINE KUSHIKIRIWA.

BREAKING NEWS JUST IN: BREAKING NEWS: POLISI WAWATAWANYA WAFUASI WA CHAMA CHA CUF ENEO LA TEMEKE JIJINI DAR WENGINE KUSHIKIRIWA.



Habari zilizotufikia Punde:Jeshi la polisi limetumia mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa chama cha wananchi CUF waliokuwa wakiandamana kwa ajili ya kukumbuka mauaji ya wenzao huko Pemba yaliyotokea mwaka 2001, Ambapo mwenyekiti wake Profesa Ibrahimu Lipumba nimiongoni watu waliokubwa na kadhia hiyo ya kupigwa mabomu ya machozi eneo la Temeke jijini Dar es Salaam.Kwa habari zaidi Endelea kufuatilia taarifa zetu tutakujuza kwa kina.


CHANZO: ITV TANZANIA


Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa