Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com
Home » » MASHINDANO YA MTEMVU CUP YAZINDULIWA RASMI VIWANJA VYA MWEMBE YANGA DAR ES SALAAM LEO

MASHINDANO YA MTEMVU CUP YAZINDULIWA RASMI VIWANJA VYA MWEMBE YANGA DAR ES SALAAM LEO


 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Temeke, Yahaya Sikunjema (wa pili kulia), akimkabidhi vifaa vya michezo Mwenyekiti wa CCM Kata ya Azimio, Essa Uswege kwa ajili ya mashindano ya Mtemvu Cup yaliyozinduliwa  jijini Dar es Salaam leo jioni. Kulia ni Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu aliyeanzisha mashindano hayo na kushoto ni Diwani wa Kata ya Azimio, Hamisi Mzuzuri.
 Mbunge wa Temeke, Abbas Abbas Mtemvu akishiriki kubeba nyoka na wasanii wa Kikundi cha Sanaa cha Hisia wakati wa uzinduzi huo.
 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Temeke, Yahaya Sikunjema ambaye alikuwa ni mgeni rasmi katika uzinduzi huo akizungumza na wadau mbalimbali katika hafla hiyo.
 Mbunge wa Temeke Abbas Mtemvu akiwasalimia wachezaji wa timy ya Yombo Vituka kabla ya kuanza kwa mashindano hayo dhidi ya timu Temeke Kata ya 14.
 Mwenyekiti wa CCM wa Wilaya ya Kinondoni, Salum Madenge akiwaslaimia wachezaji wa timu ya Yombo Vituka.
Mbunge wa Temeke Abass Mtemvu akiwa na viongozi mbalimbali waliohudhuria uzinduzi huo. (Imeandaliwa na mtandao wa www.habari za jamii.com)
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa