Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com
Home » » MCHEZAJI WA ZAMANI WA KMKM NA TIMU YA TAIFA. MCHA KHAMIS AFARIKI DUNIA

MCHEZAJI WA ZAMANI WA KMKM NA TIMU YA TAIFA. MCHA KHAMIS AFARIKI DUNIA

                                             Marehemu Mcha Khamis Mcha.

Buriani Mchezaji wa Zamani wa timu ya KMKM na Miembeni Zanzibar Mcha Khamis Mcha aliyefarika jana Mjini Dar-es-Salaam akipata matibabu katika hospitali ya Muimbili. kwa mujibu wa habari za ndugu wa karibu wamesema alikuwa akisumbulia na matatizo ya mkojo. Mwili wa marehemu unatarajiwa kuwasili Zanzibar leo katika bandari ya Malindi saa.6 mchana kwa Boti ya Azam Marine, baada ya kuwasili mwili wa marehemu utapelekwa Kijiji kwao Mkwajuni Unguja, kwa mazisha leo baada ya sala ya alasiri.
Marehemu Mcha Khamis Mcha amejiunga na timu ya KMKM katika mwaka 1978, baada ya kumaliza masomo yake, Mcha Khamis alichezea timu za Taifa ya Zanzibar na Timu ya Taifa Stars ya Tanzania kwa vipindi tafauti. 
 
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa