Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati za utambulisho kutoka kwa balozi mpya wa Argentina nchini Tanzania Mhe. Bibianna Lucila Johnes ikulu jijini Dar es Salaam na kisha kufanya mazungumzo mafupi na balozi huyo.
(Picha na Freddy Maro)
0 comments:
Post a Comment