Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Ballozi
mpya wa Tanzania nchini Saud Arabia, Hemed Mgaza, wakati alipofika
kumuaga Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Agosti 3, 2015.
Balozi Mgaza anakwenda nchini Saud Arabia, kuanza kazi rasmi baada ya
kuteuliwa hivi karibuni na Rais Jakaya Kikwete. Picha na OMR
Home »
» MAMAKU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI SAUDI ARABIA
MAMAKU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI SAUDI ARABIA
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment