Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com
Home » » MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA MANUNUZI YA UMMA KWA NCHI WANACHAMA WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI JIJINI ARUSHA

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA MANUNUZI YA UMMA KWA NCHI WANACHAMA WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI JIJINI ARUSHA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua Kongamano la Manunuzi ya Umma kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, lililofunguliwa leo Sept 2, 2015 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC Jijini Arusha.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipata maelezo kuhusu kadi mpya ya Selcom ya kufanyia huduma ya manunuzi na malipo mbalimbali kutoka kwa Meneja wa Mradi wa Kampuni ya Selcom Tanzania, Gallus Runyeta, wakati Makamu alipokuwa akitembelea Mabanda ya maonesho baada ya kufungua Kongamano la Manunuzi ya Umma kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, lililofunguliwa leo Sept 2, 2015 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC Jijini Arusha. Kadi hiyo inatarajia kuzinduliwa rasmi mwezi Oktoba mwaka huu. Katikati ni Meneja Mawasiliano wa Selcom, Sabrina Munir. 

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipata maelezo kuhusu hudua za SSRA kutoka Afisa Mawasiliano wa SSRA, Sarah Kibonde,  wakati Makamu alipokuwa akitembelea Mabanda ya maonesho baada ya kufungua Kongamano la Manunuzi ya Umma kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, lililofunguliwa leo Sept 2, 2015 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC Jijini Arusha.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipata maelezo kuhusu hudua za Max Malipo kutoka kwa Samwel Nzunda, wakati Makamu alipokuwa akitembelea Mabanda ya maonesho baada ya kufungua Kongamano la Manunuzi ya Umma kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, lililofunguliwa leo Sept 2, 2015 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC Jijini Arusha.
 Picha za pamoja baada ya ufunguzi wa kongamano hilo.
 Picha za pamoja baada ya ufunguzi wa kongamano hilo.
 Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo, wakimsikiliza Makamu wa Rais, Dkt. Bilal.
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya viongozi, Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Philemon Luhanjo, baada ya uzinduzi wa Kongamano hilo. 
Picha na OMR

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa