Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com
Home » » TUKIO KATIKA PICHA: WENGI WAJITOKEZA KUUPOKEA MWILI WA MPENDWA WETU ANDREW SANGA USIKU HUU JIJINI DAR ES SALAAM UKITOKEA MAREKANI

TUKIO KATIKA PICHA: WENGI WAJITOKEZA KUUPOKEA MWILI WA MPENDWA WETU ANDREW SANGA USIKU HUU JIJINI DAR ES SALAAM UKITOKEA MAREKANI

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
 Mwili wa Marehemu Andrew Nicky Sanga ukiwa Umewasili Tanzania
 Walio wasili na Mwili wa King Drew wakiwasili katika uwanja wa kimataifa wa Julius Kambalage Nyerere
 Baadhi ya ndugu jamaa na marafiki wakiwa wamefika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambalage Nyerere kuupokea mwili wa Mpendwa wetu Andrew Nicky Sanga
 Baadhi ya Ndugu jamaa na Marafiki wakiwa katika eneo Maalum kwa ajili ya kuupokea mwili wa Mpendwa wetu Andrew Sanga
 Baadhi ya watu wakiwa wamejipanga kwa ajili ya kuupokea Mwili wa Mpendwa wetu Andrew Sanga
 Yalikuwa ni Majonzi
 Mwili wa Mpendwa wetu Andrew Sanga ukiwa umesha wasili na hapa Ndugu jamaa na Marafiki wakiwa wanaupeleka katika Gari Maalum Tayari kwa kuelekea Muhimbili kumhifadhi.
 Mwili wa Marehemu ukiwa umewasili Muhimbili kwa ajili ya kwenda kuhifadhiwa
 Mmoja wa Mwanakamati ya maandalizi akitoa taarifa fupi
Baadhi ya ndugu jamaa na Marafiki waliofika kwa ajili ya kumsindikiza Mpendwa wetu Andrew Sanga Muhimbili Kuhifadhiwa Usiku Huu 



1 comments:

Anonymous said...

Andrew you will be missed by many. He had a great heart , humble and intelligent human kind. R.I.P #justiceforkingDrew

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa