Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com
Home » » KORTINI KWA KUKUTWA NA SARE ZA JWTZ

KORTINI KWA KUKUTWA NA SARE ZA JWTZ

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

 Imeandikwa na Jacquiline Ngoya, SAUT
MKAZI wa Tabata, Casto Gongo (35) amefi kishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na makosa matatu ikiwemo la uhujumu uchumi pamoja na kukutwa na sare za Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ).
Gongo alifikishwa mahakamani hapo jana mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba Wakili wa Serikali, Simon Wankyo alidai Juni 15, mwaka huu mshitakiwa huyo alikutwa na sare za JWTZ katika eneo la Gako Inland Container Depot (ICD) iliyopo Sokota Chang’ombe.
Inadaiwa Juni 15, mwaka huu, mshitakiwa alikutwa na Ofisa wa Polisi akiwa na bidhaa kinyume cha sheria katika Bandari Kavu.
CHANZO HABARI LEO

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa