Maandalizi yamepamba moto hapa Mziki Mnene kila kitu poa
Dj Akiwa anafanya mambo Hapa Live
Mmoja wa Wakurugenzi wa Tone Multimedia Company Limited ambao ni wamiliki wa mtandao huu akiwa Live eneo la tukio, Ndugu Sillas Mbuya
Hivi ndivyo vitu vinavyo onekana sasa
Hii Stage kuu
Maandalizi yanaendelea hapa
Endelea kufuatilia......
PICHA ZOTE NA: www.blogszamikoa.blogspot.com






0 comments:
Post a Comment