Naibu Waziri wa
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni, akizungumza na Ujumbe
kutoka Jamhuri ya Czech, ukiongozwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje kutoka
Jamhuri ya Czech, Ivan Jancarek(wa kwanza kushoto), wakati wa mazungumzo
yaliyohusu kuimarisha uhusiano katika masuala ya usalama kupitia mafunzo,
teknolojia na mbinu za kukabiliana na
uhalifu. Mazungumzo yalifanyika ofisini
kwa naibu waziri,jijini Dar es Salaam(Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
Home »
» NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA JAMHURI YA CZECH ATEMBELEA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
0 comments:
Post a Comment