Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com
Home » » BREAKING NEWS: POLISI WAKAMATA WATU WANAOSADIKIWA NI MAJAMBAZI ENEO LA SINZA MAPAMBANO JIONI HII

BREAKING NEWS: POLISI WAKAMATA WATU WANAOSADIKIWA NI MAJAMBAZI ENEO LA SINZA MAPAMBANO JIONI HII

Watu wanaosadikika kuwa ni majambazi wamekamatwa jioni hii na Polisi eneo la Sinza mapambano baada ya kufukuzana kwa muda mrefu walipokuwa wakijaribu kuwakimbia mapolisi hao, Vijana hao baada ya kutiwa nguvuni wamechukuliwa na kupelekwa katika kituo Jirani chya Polisi. Kwa mujibu wa mmoja mapolisi ambaye hakutaka jina lake litajwe alisema kuwa "Hawa vijana watakuwa ni majambazi kwa sababu wametukimbia kwa umbali mrefu na sasa tunaenda kuwafungulia mashtaka kulingana na makosa yao" 
Taarifa zaidi italetwa na Jeshi la Polisi.
 Polisi wakiwa wanaondoka na watu hao wanaosadikika kuwa ni Majambazi Sinza Mapambano
 Gari la walilokuwa nalo Polisi pamoja na watu wanaosadikiwa kuwa ni Majambazi wakiwa wanaondoka eneo walilo kamatwa kuelekea kituo cha Polisi Mabatini
 Baadhi ya watu waliokuwepo katika eneo la tukio wakiondoka 

Picha na Dar es salaam yetu

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa