Mkurugenzi Mtendaji Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akielezea utendaji kazi wa Taasisi hiyo katika kikao cha wafanyakazi kilichofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi uliopo jijini Dar es Salaam.
Kaimu
Mkurugenzi Utawala na Fedha wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)
Agnes Kuhenga akielezea kuhusu mapato na matumizi ya Taasisi hiyo katika
kikao cha wafanyakazi kilichofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa
Taasisi uliopo jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment