Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com
Home » » Castle Lite Unlocks Navy Kenzo crew kuwa ni kundi la wasanii ndani ambao watapanda jukwaa moja na Cassper Nyovest, Diamond na Future trh 22/Julai/2017

Castle Lite Unlocks Navy Kenzo crew kuwa ni kundi la wasanii ndani ambao watapanda jukwaa moja na Cassper Nyovest, Diamond na Future trh 22/Julai/2017

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Meneja Masoko wa Bia laini Afrika Mashariki, Amou Majok (wa pili kushoto) akiwa pamoja na wasanii wa kundi la Navy Kenzo juzi jijini Dar, wakati Meneja huyo akitangaza kuhusu wasanii wa kundi hilo kushiriki katika tamasha la Castle Lite Unlocks litakalofanyika mwezi Julai. Wa kwanza kulia ni Meneja Msaidizi wa Chapa ya Bia laini, Isaria Kilewo.


Wadau mbalimbali waliojitokeza wakiwa katika picha ya pamoja 


0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa