Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com
Home » » JANG'OMBE BOYS WAAGA MASHINDANO YA SPORTPESA SUPER CUP, YAPIGWA 2-0 NA GOR MAHIA

JANG'OMBE BOYS WAAGA MASHINDANO YA SPORTPESA SUPER CUP, YAPIGWA 2-0 NA GOR MAHIA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
 Mshambuliaji wa Jang'ombe Boys, Juma Hafidh, akijaribu kumtoka beki wa Gor Mahia,Kagere Medie, wakati wa mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup, yanayoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo uliomalizika hivi punde, Gor Mahia wameshinda mabao 2-0 yaliyofungwa na Medie Kagere katika dakika ya 63 na 84. Picha kwa hisani ya Montage Ltd.
 Kiungo wa Jang'ombe Boys, Abdi Kassim, akimiliki mpira mbele ya beki wa Gor Mahia, wakati wa 
mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup, yanayoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. 
 Kipa wa Gor Mahia, Shakava Haron, akiruka kudaka mpira wa hatari langoni kwake, wakati wa mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup, yanayoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. 
 Mchezaji wa Jang'ombe Boys, Abdallah Rashid, akimtoka Wafula Innocent, wakati wa mchezo wa 
mashindano ya SportPesa Super Cup, yanayoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
 Abdi Kassim akitawala dimba......
 Kikosi cha Gor Mahia
 Kikosi cha Jang'ombe......
 Makame Khamis wa Jang'mbe, akiruka kumiliki mpira....
 Mshambuliaji wa Jang'ombe Boys, Juma Hafidh, akijaribu kukatika katikati ya msitu wa wachezaji wa Gor Mahia.
Wachezaji wa Nakuru wakiwa jukwaani kabla ya mchezo wao.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa