Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com
Home » » MBUNGE WA CHALINZE MHE. RIDHIWANI KIKWETE MGENI RASMI MICHUANO YA NDONDO CUP

MBUNGE WA CHALINZE MHE. RIDHIWANI KIKWETE MGENI RASMI MICHUANO YA NDONDO CUP

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
 Mgeni rasmi Mbunge wa Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete (meza kuu kulia juu) akimshangilia shabiki mkubwa  wa timu ya Kauzu Fc ya Tandika  Chief Kauzu wakati akiingia katika uwanja wa Kinesi eneo la Ubungo jijini Dar es salaam kabla ya mchezo wa Mashindano ya Mpira wa Miguu ya SportsXtra Ndondo Cup yanayoandaliwa na Clouds FM na AzamTv,  baina ya Kauzu FC na Stim Tosha ambayo iliibuka mshindi kwa njia ya penati 4-2 baada ya kutoka sare ya 1-1.
 Mgeni rasmi Mbunge wa Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete akiongea jambo na Chief Kauzu wa Timu ya Kauzu Fc ya Tandika
 Mgeni rasmi Mbunge wa Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete akiwa meza kuu na viongozi wengine wa michuano hiyo
 Mgeni rasmi Mbunge wa Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete akigawa zawadi kwa kiongozi wa timu ya Kauzu FC. Kushoto ni Mbunge wa Ubungo Mhe. Saeed Kubenea
Mgeni rasmi Mbunge wa Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete akigawa zawadi  kwa viongozi wa timu ya StimTosha ya Mabibo ambao ndiyo walioibuka na Ushindi wa Magoli 4-2 kwa njia ya Penalti baada ya kumaliza mchezo kwa sare ya 1-1

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa