Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com
Home » » MHE. RIDHIWANI KIKWETE ASHUHUDIA NDONDO CUP UWANJA WA KINESI UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM

MHE. RIDHIWANI KIKWETE ASHUHUDIA NDONDO CUP UWANJA WA KINESI UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
 
 Mbunge wa Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete akisalimiana na viongozi na mashabiki wakati alipowasili uwanja wa Kinesi Ubungo jijini Dar es salaam  kuangalia kuangalia mtanange wa Ndondo Cup kati ya timu ya Stim Tosha na Keko Furniture. Katika Mechi hiyo Keko wameshinda kwa penati 4-2 baada ya kutoka Sare ya magoli 1-1 katika muda wa kawaida.

 Mbunge wa Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete akihojiwa na Azam TV katika  uwanja wa Kinesi Ubungo jijini Dar es salaam  alipofika kuangalia kuangalia mtanange wa Ndondo Cup kati ya timu ya Stim Tosha na Keko Furniture. Katika Mechi hiyo Keko wameshinda kwa penati 4-2 baada ya kutoka Sare ya magoli 1-1 katika muda wa kawaida.

0 comments:

Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa