Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com
Home » » UJUMBE UBALOZI WA ISRAEL WATEMBELEA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI LEO

UJUMBE UBALOZI WA ISRAEL WATEMBELEA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI LEO

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.

 Ujumbe kutoka Ubalozi wa Israel nchini Kenya umetembelea Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) leo. Maestro Nir Brand akipiga kinanda ili kuwaburudisha watoto wanaopatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH). Kushoto ni Ofisa Uhusiano kutoka ubalozi huo, Angela Mogusu.  
 Watoto wanaotibiwa katika hospitali hiyo wakisikiliza moja wa wimbo uliokuwa ikiimbwa na Brand leo kwenye Jengo la watoto.
 Watoto wakicheza na Daktari Bingwa wa Watoto, Rehema Laiti leo.
  Ilala Brand akipiga makofi ikiwa ni sehemu ya kuungana wagonjwa leo.Dk. Shlomi Cohen akishiriki katika shughuli ya kuimba na kucheza na watoto hao leo.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa