Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com
Home » » WADAU MBALI MBALI WA MAFUTA WAKUTANA KUJADILI ZABUNI YA UINGIZAJI WA MAFUTA KWA MWEZI WA TISA

WADAU MBALI MBALI WA MAFUTA WAKUTANA KUJADILI ZABUNI YA UINGIZAJI WA MAFUTA KWA MWEZI WA TISA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Serikali wa Uagizaji Mafuta ya pamoja(PBPA), Modestus Lumato
Mwenyekiti wa Kamati ya Zabuni ya kuagiza Mafuta kwa pamoja, Ali Saeed akifungua Sanduku la Zabuni tayari kwa kujadili Makampuni yaliyoandaa Uagizaji wa Mafuta, katika Kikao kilichofanyika jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Kamati ya Zabuni ya kuingiza Mafuta kwa pamoja, Ali Saeed akiwa na bahasha za maombi tayari kwa kujadiliwa.
Baadhi ya Wawakilishi wa Makampuni yaliyoomba Zabuni ya kununua Mafuta wakiwa katika Kikao cha kupata washindi wa Zabuni hizo.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa