Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com
Home » » BODI YA KOROSHO YATANGAZA UPATIKANAJI WA MBOLEA YA SALFA KWA WAKULIMA WA KOROSHO

BODI YA KOROSHO YATANGAZA UPATIKANAJI WA MBOLEA YA SALFA KWA WAKULIMA WA KOROSHO

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.


Katibu na Mwanasheria toka Bodi ya Korosho Bi. Ugumba Kilasa (kushoto) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akielezea upatikanaji wa mbolea ya Salfa kwa wakulima wa korosho mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kulia ni Mkaguzi wa ndani wa bodi hiyo Bw. Christopher Mwaya.
Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mkaguzi wa ndani toka Bodi ya Korosho Bw. Christopher Mwaya wakati akielezea upatikanaji wa mbolea ya Salfa kwa wakulima wa korosho mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Picha na Eliphace Marwa – Maelezo.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa