Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com
Home » » GRACA MACHEL ATEMBELEA WAJASIRAIMALI WALIOJUMUIKA KATIKA MKUTANO WA WOMEN ADVANCING AFRICA

GRACA MACHEL ATEMBELEA WAJASIRAIMALI WALIOJUMUIKA KATIKA MKUTANO WA WOMEN ADVANCING AFRICA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

 Mjane wa Rais wa Zamani wa Afrika Kusini Mama Graca  Machel  akiangalia bidhaa za Wanawake wa Kitanzania ambao wameshiriki maonyesho wakati wa mkutano wa  Maendeleo ya Wanawake kwenye Uchumi na Jamii(Women Advance in Africa ) Uliofanyika Jijini Dar es Salaam
  Mjane wa Rais wa Zamani wa Afrika Kusini Mama Graca  Machel akizungumza  na Mkurugenzi Tamic Company Limited Jacqueline Baruti  wakati alipotembelea banda lake katika Mkutano wa Women Advancing Africa
  Mjane wa Rais wa Zamani wa Afrika Kusini Mama Graca  Machel   akiangalia moja ya bidhaa zinazozalishwa na wajasilamali wa Tanzania

  Mjane wa Rais wa Zamani wa Afrika Kusini Mama Graca  Machel  akitazama bidhaa zinazozalishwa na kampuni ya Masaimara Gardening Co Ltd , Kulia ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo Murwa Kihore akimuonyesha bidhaa zinazozalishwa .
 Mjane  wa Rais wa Zamani wa Afrika Kusini Mama Graca  Machel akiangalia banda la Women Advance in Africa. Picha na Humphrey Shao wa Globu ya Jamii

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa