Mfanyabiashara Yusuf Manji akirudishwa mahabusu baada ya kesi yake ya maombi ya dhamana kuahirishwa hadi Agosti 7mwaka huu.
Na Karama Kenyunko, Blogu ya jamii.
Mahakama
Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam Leo imeahirisha kesi maombi ya
dhamana yaliyowasilishwa na Mfanyabiashara maarufu Tanzania Y usuf
Manji, hadi Agosti 7 mwaka huu kwa kuwa Jaji Isaya Arufani anayesikiliza
kesi hiyo anaudhuru.
Kesi hiyo imeahirishwa na Msajili wa Mahakama kuu, Siani..
Hata
hivyo kabla ya kuahirishwa kwa kesi hiyo, upande wa Mashtaka ukiongozwa
na wakili wa Serikali Paul Kadushi akisaidiana na Simon wankyo
wamesilisha kiapo kinzani kupinga maombi hayo ya dhamana wakiwa na hoja
tatu.
Hoja
hizo ni kuwa, Mahakama Kuu haina mamlaka ya kusikiliza maombi hayo ya
dhamana, na kwamba upande wa utetezi umewasilisha maombi hayo ya dhamana
kwa kutumia vifungu ambayo siyo sahihi kisheria na pia viapo walivyo
viwasilisha vina dosari kisheria.
Hata hivyo, kwa kuwa Jaji husika anayesikiliza kesi hiyo hayupo, kesi hiyo itakuwa tena Agosti 7 (Jumatatu).
Katika
maombi hayo ya dhamana, Yusuf Manji anaiomba Mahakama Kuu itengue hati
ya kunyimwa dhamana iliyowasilishwa na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP)
Julai 5 mwaka huu aliposomewa Mashtaka ya uhujumu uchumi.
Mahakama
Kuu ya Tanzania kanda ya Farces Salaam Leo imeahirisha kesi maombi ya
dhamana yaliyowasilishwa na Mfanyabiashara maarufu Tanzania Yusuf
Manji, hadi Agosti 7 mwaka huu kwa kuwa Maji Isaya Arufani anayesikiliza
kesi hiyo anaudhuru.
Kesi hiyo imeahirishwa mbelw ya Msajili wa Mahakama kuu, Siani.
Hata
hivyo kabla ya kuahirishwa kwa kesi hiyo, upande wa Mashtaka ukiongizwa
na Wakili wa Serikali Paul Kadushi akisaidiana na Simon wankyo
wamesilisha kiapo kinzani kupinga maombi hayo ya dhamana wakiwa na hoja
tatu.
Hoja
hizo ni kuwa, Mahakama Kuu haina mamlaka ya kusikiliza maombi hayo ya
dhamana, na kwamba upande wa utetezi umewasilisha maombi hayo ya dhamana
kwa kutumia vifungu ambayo siyo sahihi kisheria na pia viapo walivyo
viwasilisha vina dosari kisheria.
Hata hivyo, kwa kuwa Jaji husika anayesikiliza kwai hiyo hayupo, kesi hiyo itakuwa tena Agosti 7 (Jumatatu).
Katika
maombi hayo ya dhamana, Yusuf Manji anaiomba Mahakama Kuu itengue hati
ya kunyimwa dhamana iliyowasilishwa na Mkurgenzi wa Mashtaka (DPP) kwa
kuwa ana matatizo ya kiafya akisumbuliwa na matatizo ya moyo.
Kwa
mujibu wa hati ya maombi hayo, Manji anadai kuwa anasumbuliwa na
maradhi ya moyo na kwamba ameambatanisha vyeti vya daktari katika
maombi yake.
Katika
kesi ya msingi, Manji na wenzake wanatuhumiwa kukutwa na mihuri ya
mbalimbali ya JWTZ isilivyo halali vyote vikiwa na thamani ya Sh.
milioni 236.5.
Mbali
na Manji, washtakiwa wengine ni, Ofisa Rasilimaliwatu Deogratias
Kisinda (28), Mtunza Stoo, Abdallah Sangey (46) na Mtunza Stoo msaidizi,
Thobias Fwele (43).
0 comments:
Post a Comment