Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Niyonzima (kushoto) akifanya mazoezi kwa kufuata maelekezo ya kocha msaidizi wa Simba, Jackson Mayanja.
Mayanja akimnyoosha viungo, Niyonzima.
Nduda akiwa amechumpa hewani
Niyonzima akimsalimia Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe.
Wachezaji wakikontroo mpira.
. …Wakiendelea kupasha.
Mashabiki wakisukuma gari alilopanda Niyonzima wakati akiondoka.
KIKOSI cha Simba leo kimefanya mazoezi kwenye uwanja wa Boko Veterani
uliopo Ununio jijini Dar ikiwa ni maandalizi ya bonanza lake la Simba
Day linalotarajiwa kufanyika kesho Uwanja wa Taifa.
Katika mazoezi hayo kikosi hicho kiliwajumuisha wachezaji wake wapya
akiwemo Haruna Niyonzima, John Boko, Emmanuel Okwi, Aishi Manula, Said
Mohammed, Erasto Nyoni na wengineo.
Baada ya mazoezi
Baada ya mazoezi hayo mashabiki waliofika kuangalia jinsi simba
ilivyopasha walishindwa kuzuia hisia zao na kuamua kulisukuma gari la
Niyonzima huku wakimshangilia na kumkaribisha.
0 comments:
Post a Comment