Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akieleza mikakati ya Serikali katika kutatua changamoto za wasanii wa filamu nchini wakati alipokutana nao mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wasanii wakimsikiliza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe wakati alipokutana nao ili kujua changamoto zinazoikabili tasnia ya filamu mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt.
Harrison Mwakyembe akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wasanii wa filamu
nchini mara baada ya kumaliza mkutano wao mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Picha na Eliphace Marwa - Maelezo
0 comments:
Post a Comment