Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com
Home » » TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE KWA KUSHIRIKIANA NA MADAKTARI KUTOKA HOSPITALI YA BLK YA NCHINI INDIA YAFANYA UPASUAJI KWA WAGONJWA WA MOYO

TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE KWA KUSHIRIKIANA NA MADAKTARI KUTOKA HOSPITALI YA BLK YA NCHINI INDIA YAFANYA UPASUAJI KWA WAGONJWA WA MOYO

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.


Madaktari Bingwa wa upasuaji wa moyo na mishipa ya damu kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Evarist Nyawawa (kulia) na mwenzake Ajay Kaul (kushoto) wa Hospitali ya BLK ya nchini India wakimfanyia mgonjwa leo upasuaji wa kuziba tundu la moyo.
Madaktari Bingwa wa usingizi kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Anjela Muhozya na Sameer Arora wa BLK Hospitali ya nchini India wakizungumza jambo wakati wakimsubiri mgonjwa aandaliwe kwaajili kuingia katika chumba cha upasuaji wa Moyo.
Madaktari Bingwa wa upasuaji wa moyo na mishipa ya damu kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na Hospitali ya BLK ya nchini India wakimfanyia mgonjwa leo upasuaji wa kuziba tundu la moyo.
Kazi ya upasuaji wa moyo kwa ajili ya kuziba tundu lililopo katika vyumba vya chini ya moyo ikiendelea.Picha na JKCI

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa