Saturday, March 31, 2012

Tukio la kumaliza mafunzo ya Polisi CCP



 Katibu Mkuu wa Mambo ya Ndani Mh. Mbaraka Abdulwakil, akitoa zawadi kwa mmoja wa Wahitimu wa Polisi, kulia ni  Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Saidi Mwema.
Gwaride likipita mbele ya mgeni rasmi kwa mwendo wa haraka likitoa heshma.
 (Picha zote na Mohammed Mhina wa Jeshi la Polisi )

No comments:

Post a Comment