Sehemu ya wakazi kutoka sehemu mbalimbali wakiendelea kumiminika kwenye uwanja wa Taifa kusherehekea tamasha la pasaka linaloendelea hivi sasa.
Wakifuatilia kwa makini yanayoendelea hivi sasa hapa Uwanjani,ambapo katika tamasha hilo mgeni rasmi ni Waziri wa mambo ya Nje Mh Bernad Membe.
Maandalizi yakiendelea sehemu ya mafundi mitambo.
Sehemu ya jukwaa ambako wasanii wataonesha umahiri wao
No comments:
Post a Comment