Sunday, April 22, 2012

MWANAMZIKI MKONGWE ADOLF MBINGA AIBUKIA WK SOUND



 Waimbaji wa bend ya Wazee wa Kujiamini Sound wakiwajibika wakati wa Onesho lao lililofanyika katika ukumbi wa Pille Bar uliopo Temeke jijini Dar es salaam kutoka kushoto ni Esther Yamba kulia ni Shamira Odema.


 Wapiga Magita wa bendi ya W.K Sound Band wakiwajibika wakati wa onesho lao lililofanyika katika ukumbi wa Pille Bar Dar es salaam jana kushoto ni Mpiga Bess. Silas William na mpiga Ridhim. Adofu Mbinga



No comments:

Post a Comment