Monday, April 23, 2012

WAKAGUZI WA NDANI WAPATA MAFUNZO UA UKAGUZI

Baadhi ya wakaguzi wa ndani  kutoka Idara zinazojitegemea na Wizara
mbalimbali wakiwa katika mafunzo ya siku nne ya kuwajengea uwezo wakaguzi hao
juu ya kufanya ukaguzi unazingatia maeneo hatarisha ili kupunguza hoja za
kikaguzi. Mafunzo hayo yalianza leo jijini Dar es salam na kufunguliwa na
Kaimu Mkaguzi Mkuu wa Ndani Constantine Mashoko(hayupo pichani)

Mkaguzi Mkuu Msaidizi wa Ndani (Assistant Internal
Auditor General ) Emmanuel Subi akieleza malengo ya mafunzo ya siku nne ya
wakaguzi wa ndani kutoka Wizara mbalimbali na Idara zinazojitegemea  leo jijini Dar es salaam juu ya kuwajengea
uwezo wakaguzi hao katika kufanya ukaguzi unaozingatia maeneo hatarisha ili
kupunguza hoja za kikaguzi.
Kaimu Mkaguzi Mkuu wa Ndani Constantine Mashoko akifungua
mafunzo ya siku nne ya wakaguzi wa ndani kutoka Wizara mbalimbali na Idara
zinazojitegemea  leo jijini Dar es
salaam juu ya kuwajengea uwezo wakaguzi hao katika kufanya ukaguzi unaozingatia
maeneo hatarisha ili kupunguza hoja za kikaguzi.
Picha  na Tiganya Vincent-MAELEZO-
Dar es salaam

No comments:

Post a Comment