Meneja wa uhusiano wa shirika la Umeme nchini Tanzania, Badra Masoud, amewaonya wezi wa umeme nchini kwamba shirika lake liko mbioni kuwakamata wezi wote na kuhakikisha wanalipa madeni wanayodaiwa na shirika hilo.
Meneja wa uhusiano wa shirika la Umeme nchini Tanzania, Tanesco, Badra Masoud, amewaonya wezi wa umeme nchini humo kwamba shirika lake liko mbioni kuwakamata wezi wote na kuhakikisha wanalipa madeni wanayodaiwa na shirika hilo.
Badra amesema baada ya wiki mbili shirika lake litaanza kupiga mnada nyumba za watu pamoja na za kampuni kubwa kubwa nchini humo ambazo zinazodaiwa na TANESCO. Hata hivyo, Badra Masoud amesema shirika hilo pia litaanza mikakati ya kupambana na wafanyakazi walaji rushwa ambao wanashindwa kutekeleza majukumu yao.
Awali Amina Abubakar alizungumza na Badra Masoud na mwanzo alitaka kujua zaidi juu ya mikakati hiyo ya Tanesco katika kuwakamata wezi wa umeme..http://www.dw.de/dw/article/0,,16178980,00.html..

No comments:
Post a Comment