Picha za juu ni Jengo ambalo linaendelea kujengwa lenye urefu wa Ghorofa 32 moja ya mali za PSPF . Ujenzi huo unaendelea sasa katika Barabara ya Sokoine Drive
Mambo yanapamba moto,Huu ni ujenzi wa Jengo la Milenium Tower awamu ya Pili, ambalo linamilikiwa na MFUKO wa LAPF lililopo maeneo ya kijitonyama. Jengo hili lina Ghorofa 27
Ujenzi wa Jengo la GEPF unaendelea sasa, Jengo lipo Barabara ya New Bagamoyo Road, Regent Estate.
PICHA ZOTE NA : www.blogszamikoa.blogspot.com
No comments:
Post a Comment