Tuesday, September 18, 2012

Mhe. Makinda akutana na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki leo

  Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akimkaribisha Spika mpya wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe. Magareth Zziwa alipofika kwake kumtembelea leo
 Spika mpya wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe. Magareth Zziwa akifafanua jambo kwa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe. Anne Makinda alipomtembelea leo Ofisini Kwake. Mhe. Zziwa alimtembelea Mhe. Makinda kwa lengo la Kujitambulisha. 
 Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwa katika mazungumzo na Spika mpya wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe. Magareth Zziwa alipomtembelea leo Ofisini Kwake leo. Mhe. Zziwa alimtembelea Mhe. Makinda kwa lengo la Kujitambulisha baada ya kuchaguliwa kuwa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Mapema mwezi Julai. 
 Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwa katika mazungumzo na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe. Magareth Zziwa alifika ofisini kwake kumtembelea leo. Kushoto ni Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki kutoka Tanzania Mhe. Angela Kiziga
  Ukarimu...... Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akimkabidhi Zawadi Spika mpya wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe. Magareth Zziwa mara baada ya kufanya nae mazungumzo leo ofisini kwake.

 Spika Zziwa akifurahia Zawadi yake
 Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akifurahia jarida la Bunge la Afrika Mashariki mara baada ya kukabidhiwa na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe. Magareth Zziwa alipomtembelea Ofisini kwake leo.
  Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akifurahia Zawadi ya kikapu chenye zawadi mbalimbali mara baada ya kukabidhiwa na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe. Magareth Zziwa leo Ofisini kwake. Mhe. Zziwa alimtembelea Mhe. Makinda kwa lengo la Kujitambulisha baada ya kuchaguliwa kuwa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Mapema mwezi Julai.


Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwa katika Picha ya pamoja na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe. Magareth Zziwa (Katikati) na Mbunge wa Afrika Mashariki kutoka Tanzania Mhe. Angela Kiziga mara baada ya kumtembelea Mhe. Makinda Ofisini kwake mapema leo.

Picha zote na Owen Mwandumbya wa Bunge

No comments:

Post a Comment