Mkurugenzi mpya wa Idara ya Habari (MAELEZO) Assah Mwambene (kulia) akiongea na Msaidizi wa Heshima wa Balozi wa Mexico Tanzania ( Honorary Consulalte of Mexico Tanzania). alipokwenda kujitambulisha ofisini kwa Mkurugenzi huyo (13,Sept,2012) ambapo walizungumza mambo mbalimbali ya jinsi ya kusaidiana katika nyanja ya habari. Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO
No comments:
Post a Comment