Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kikristo ya Huduma za Jamii (CSSC) Bw.
Peter Maduki akitoa neno la shukrani kwa mgeni rasmi Naibu waziri wa
afya na ustawi wa jamii Dk. Seif Rashid baada ya kufungua mkutano huo.
Mwenyekiti
wa TCMA, Dk. Isaya Tosiri (kushoto) akiwa na Katibu wake Dk. Mark
Bingileki wakiongea na waandishi wa Habari baada ya ufunguzi wa Mkutano
huo.
wa TCMA, Dk. Isaya Tosiri (kushoto) akiwa na Katibu wake Dk. Mark
Bingileki wakiongea na waandishi wa Habari baada ya ufunguzi wa Mkutano
huo.
No comments:
Post a Comment