Mhe.Balozi Rajabu Gamaha, Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa (kulia) na Balozi Albert Shingiro, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Burundi wakiweka saini barua ya pamoja kwa niaba ya Serikali ya Nchi zao ambayo itawasilishwa kwenye Shirika la Kijerumani la GIZ ili kuomba msaada wa kuimarisha mpaka kati ya Tanzania na Burundi. |
No comments:
Post a Comment