HIVI NDIVYO KIWANDA KILIVYO KUWA KIKIWAKA MOTO.
MOTO ULIO CHUKUA DAKIKA AROBAINI NA TANO UMETEKETEZA KIWANDA CHA CHEMICOTEX KILICHOPO MBEZI BEACH, HATA HIVYO JUHUDI ZA KUZIMA MOTO ZILIFANYIKA MAPEMA AMBAPO MAGARI ZA ZIMA MOTO ZAIDI YA MANNE YALIFIKA ENEO HILO NA KUZIMA MOTO HUO.
MPAKA SASA HAIJAJURIKANA NI HASARA KIASI GANI IMETOKEA WALA HAKUNA CHANZO KILICHO TAJWA CHA MOTO HUO.
ZAIDI FUATILIA HAPA HAPA
HABARI NA BLOGS ZA MIKOA
No comments:
Post a Comment