 |
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika lisilo la Kiserikali la
Equality for Growth (EfG), Jane Magigita, akichangia
mada katika mdahalo huo. |
 |
Mwezeshaji wa Mdahalo maalumu wa wadau
wanaojishughulisha na sekta isiyo rasmi kwa ajili ya
kujadili ukatili wa kijinsia hapa nchini, Frank Chambua
(kushoto), akitoa mada katika mdahalo huo uliofanyika
Dar es Salaam mwanzoni mwa wiki. Mdahalo huo
uliandaliwa na Shirika lisilo la Kiserikali la
Equality for Growth (EfG) kwa ufadhili wa ubalozi
wa nchi ya Uingereza. |
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika lisilo la Kiserikali la Equality for Growth (EfG), Jane Magigita, akihojiwa na waandishi wa habari kuhusu mdahalo huo.
No comments:
Post a Comment