Wednesday, January 30, 2013

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AFUNGUA MKUTANO WA KANDA WA MASHAURIANO WA BARAZA LA VIJANA WA JUMUIYA YA MADOLA.

 Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed 
Gharib Bilal, akisoma
hotuba yake wakati akifungua Mkutano
 wa  Mashauriano wa Kanda wa  Baraza la Vijana wa Jumuiya ya Madola uliofunguliwa
leo Januari 29, 2013 katika Hoteli ya White Sands
 jijini Dar es Salaam.
 Naibu
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo,
 Dkt. Fenella Mukangara,
akizungumza wakati wa Mkutano
 wa  Mashauriano wa Kanda wa  
 Baraza la Vijana wa Jumuiya ya Madola uliofunguliwa
leo na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
 Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, katika Hoteli ya White Sands
 
 jijini Dar es Salaam.
 Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed 
Gharib Bilal, akiteta
jambo na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana wa Wizara ya 
Habari, Vijana, Utamaduni
na Michezo, Prof. Elisante Ole Gabriel, wakati wa ufunguzi wa 
Mkutano  wa  Mashauriano wa Kanda wa  Baraza la Vijana wa 
Jumuiya ya Madola uliofunguliwa
leo, katika Hoteli ya White Sands
 jijini Dar es Salaam.
 Baadhi
ya washiriki wa mkutano huo wakimsikiliza Makamu wa Rais wa 
Jamhuri ya Muungano
wa Tanzani, Dkt. Mohammed Gharib Bila, wakati akisoma hotuba
 yake ya ufunguzi
wa mkutano huo leo, katika Hoteli ya White Sands
 jijini 
Dar es Salaam.
 Baadhi
ya washiriki wa mkutano huo wakimsikiliza Makamu wa Rais wa 
Jamhuri ya Muungano
wa Tanzani, Dkt. Mohammed Gharib Bila, wakati akisoma 
hotuba yake ya ufunguzi
wa mkutano huo leo, katika Hoteli ya White Sands
 
 jijini Dar es Salaam.
 Baadhi
ya washiriki wa mkutano huo wakimsikiliza Makamu wa 
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzani, Dkt. Mohammed Gharib Bila, wakati akisoma 
hotuba yake ya ufunguzi
wa mkutano huo leo, katika Hoteli ya White Sands
 jijini
 Dar es Salaam.
 Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
 Gharib Bilal, akiwa
katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano huo, 
wanaowakilisha makundi
mbalimbali ya vijana.
 Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
 Gharib Bilal, akiwa
katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano huo,
 wanaowakilisha makundi
mbalimbali ya vijana.
 Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
 Dkt. Mohammed 
Gharib Bilal, akiwa
katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano huo, 
wanaowakilisha makundi
mbalimbali ya vijana.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 
Dkt. Mohammed
 Gharib Bilal,
akiagana na Mkurugenzi wa Maendelea ya Vijana wa Wizara ya 
Habari, Vijana Utamaduni
na Michezo, Prof. Elisante Ole Gabriel, baada ya kufungua 
mkutano wa  Mashauriano wa Kanda wa  Baraza la Vijana wa 
Jumuiya ya Madola uliofunguliwa
leo, katika Hoteli ya White Sands  jijini Dar es Salaam. 
Kushoto ni Waziri wa Naibu
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, 
Dkt. Fenella Mukangara. 
.Picha zote na Muhidin Sufiani-Ofisi ya Makamu wa Rais

No comments:

Post a Comment