Wednesday, January 16, 2013

Mfanyakazi wa kazi za ndani ajinyonga huko Tabata Baracuda



Kumradhi wadau kwa picha hii kama itakuwa imewakwaza kwa namna moja ama nyingine,lakini ndiyo hali halisi ya tukio lenyewe,pichani ni mwili wa dada huyo wa kazi za ndani ukining'inia mara baada ya kujinyonga na kupoteza uhai wake,ambapo mpaka shuhuda wa tukio hili anaondoka kwenye tukio chanzo cha kujinyonga kwa mwanadada huyo hakijulikani.Tukio hilo limetokea eneo la la Tabata Barakuda jana usiku mnamo majira ya saa moja usiku na bado chanzo hakijulikani.
Gari la Polisi likiwa limewasili na kuuchukua mwili wa marehemu na kuupakia katika gari na kuondoka nao
Umati wa watu ukiangalia mahala alipokuwa amejinyongea mdada huyo wa kazi za ndani,ambapo sababu za kujinyonga kwake hazikufahamika mapema.

.habari zaidi ingia www.tzdadaz.blogspot.com 

No comments:

Post a Comment