Friday, January 4, 2013
WATU WENGI WAJITOKEZA MAKABURI YA KISUTU KUMSINDIKIZA MAREHEMU SAJUKI MUDA HUU, SHUHUDIA
Umati wa watu uliojitokeza hapa katika makaburi ya kisutu upanga kumpumzisha mpendwa wetu Sajuki.
Mwili wa Marehemu Sajuki ndio unawasili sasa hivi.
Makabulini Kisutu Dar
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment