Thursday, January 24, 2013

Waziri Mkuu Mizengo Pinda Atembelea Ofisi ya Taifa ya Takwimu jijini Dar es salaam



 Waziri
Mkuu Mizengo Pinda akimweleza jambo Meneja wa Takwimu za Kilimo Bi.
Joyce Urassa alipotembelea Ofisi ya Taifa ya Takwimu jijini Dar es
salaam.


 Mkurugenzi
Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa
(kulia)akimfafanulia jambo  Waziri Mkuu Mizengo Pinda (katikati)  kuhusu
takwimu za Kilimo na uchumi. Kushoto kwa waziri Mkuu ni Waziri wa Fedha
Dkt. William Mgimwa.

 Waziri
Mkuu Mizengo Pinda akiwa katika Picha ya Pamoja na viongozi na
watumishi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu mara baada ya kukamilisha ziara
yake.

No comments:

Post a Comment