Polisi jijini Dar Es Salaam imepambana na baadhi ya watu wanaodaiwa ni
waumini wa dini ya Kiislam walioamua kuandamana katika maeneo ya
Kariakoo.
Licha ya kupigwa marufuku kwa maandamano hayo na
jeshi la Polisi wamedai kuwa lengo la maandamano hayo ni kushinikiza
kupewa dhamana kwa Sheikh Issa Ponda.
SOURCE: ITV
waumini wa dini ya Kiislam walioamua kuandamana katika maeneo ya
Kariakoo.
jeshi la Polisi wamedai kuwa lengo la maandamano hayo ni kushinikiza
kupewa dhamana kwa Sheikh Issa Ponda.
No comments:
Post a Comment