Thursday, February 21, 2013

KUTOKANA NA UHABA MKUBWA WA MAJI WANANCHI KIBAMBA WALAZIMIKA KUYACHIMBA MAJI KATIKA MTO ULIO KAUKA!

 ENEO HILI KAMA LINAVYO ONEKANA KAVU ULIKUWA NI MTO AMBAO KWA SASA UMEKAUKA LAKINI UKICHIMBA CHINI KIDOGO UNAPATA MAJI YA AMBAYO SI YA CHUMVI.

 HILI NI MOJA YA ENEO AMBALO WAKAZI WA ENEO HILI WAMECHIMBA NA KUCHOTA MAJI MPAKA YEMEKWISHA
 HUU NI MMOMONYOKO WA UDONGO AMBAO UMESABABISHWA NA MVUA KUBWA AMBAYO ILINYESHA








HAYA NI BAADHI YA MACHIMBO YA MAJI AMBAYO WANANCHI WA ENEO HILI LA KIBAMBA WANATUMIA KWA AJILI YA MAMBOYAO MBALIMBALI

No comments:

Post a Comment