Friday, March 15, 2013

BALOZI WA SUDAN NCHINI AMTEMBELEA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI, DK EMMANUEL NCHIMBI OFISINI KWAKE, JIJINI DAR ES SALAAM



Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (kushoto) akizungumza jambo na Balozi wa Sudan nchini, Yassir Mohammed Ali. Balozi na waziri huyo walijadili masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya ubalozi huo na wizara.
Balozi wa Sudan nchini, Yassir Mohammed Ali (kulia) akimkabidhi zawadi Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi wakati balozi huyo alipofanya ziara ya kikazi wizarani hapo, jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment