Thursday, March 14, 2013

MISS UTALII TANZANIA WA TAJI LA VIPAJI TAIFA 2005/2006 AKUTANA NA WAREMBO WA MISS UTALII TANZANIA TAIFA 2012/13



 Aliye Kuwa Mshindi wa Tuzo  ya Miss Tanzania Vipaji 2005/2006 Bi Linda Akizungumza na Washiriki wa Miss Utalii Taifa 2012/13 jana katika Ufukwe wa Bahari ya Hindi.

 Washiriki wa Miss Utalii Tanzania  Taifa 2012/13 wakiwa wamefurahi baada ya Kutembelewa na mgeni.
Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakiwa katika Picha ya pamoja na Miss Utalii Tanzania aliye shinda Tuzo ya Vipaji Bi Linda.


No comments:

Post a Comment